Alhamisi, 7 Septemba 2017

VIONGOZI WA BUNGE LA JAMII WAPOKELEWA KWA HESHIMA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA RADIO MJINI DODOMA





Viongozi wa Bunge la jamii tayari waliwasili mjini Dodoma toka Jana trh 6/6/17 tayari kwa maandalizi ya Bunge la jamii.

Viongozi hao waliingia kwa usafiri tofauti tofauti huku wakipokelewa kwa heshima na wakazi wa mji wa Dodoma.

Viongozi hao wamefanikiwa kualikwa na vituo mbalimbali vya radio mjini Dodoma tayari kwa kuongea na watanzania na wakazi wa mji wa Dodoma.

Shamla shamla za uzinduzi zinaendelea kushika kasi katika mji wa Dodoma huku watu wengi wakitamani kujiunga na Bunge la jamii na hasa kuhudhuria katika uzinduzi huo.

Athuman hotty mratibu wa maswala ya vyombo vya habari mjini Dodoma kuhusiana na swala hilo, amewaomba wakazi wa Dodoma kuhudhuria kwa kazi ya kumpongeza Mh rais Maguful.

posted from Bloggeroid

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni