Bunge la jamii Tanzania, limeshitushwa na msiba wa Mbunge wa jimbo la songea mjini mh Reonida Gama,
Tunatoa pole kwa Mh spika Jobu Ndugai na wabunge wa Bunge la Tanzania kufuatia kifo cha Mbunge Reonaida Gama.
Tutamkumbuka kwa mema yake aliyotenda huku akisimamia majukum yake vizuri hakika tumepoteza pengo kubwa," walisema viongozi wa Bunge la jamii"
Pamoja na hayo tunaungana na watanzania na familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Deus Lugaila
Msemaji kiongozi Bunge la jamii Tanzania
posted from Bloggeroid
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni