Msemaji wa kikundi cha friends of Batuli ambae ni Batuli Kisaya, amewaasa wakazi wa kanda ya ziwa na vitongoji vyake kuwa wazalendo katika vikundi mbalimbali vya kijamii nchini.
Ameyasema hayo ndani ya studio ya A live fm jijini Mwanza huku akitoa nafasi kwa wazamini wanalio tayar kuzamini kikundi hicho cha friends of Batuli.
"Tunakaribisha watu mbalimbali kuwa nasi na katika kutudhamini kwani sisi tupo kijamii na kuwasaidia na kuyagusa makundi mbalimbali yasiyo na uwezo kama yatima,wajane nk" alisema Kisaya huku akisisitiza kila mtanzania kutoa msaada kwa m
akundi hayo ambayo nayo hayakutaka kuwa hivyo
Kisaya ambae amefunguka kwa undani hasa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza amewaomba watanzania kushirikiana bega kwa bega na hata makundi kwa namna mbalimbali.
Friends of Batul,ni foundation iliyoanzishwa mwaka Jana kwa lengo la kuziguza jamii zenye uhitaji kama wajane,mayatima nk ,na tarehe tano iliweza kufanya uzinduzi wake wa kihistoria huku viongozi mbalimbali wakihudhuria katika hafla hiyo huku ikitoa vyeti kwa taasisi mbalimbali nchini ikiwemo Bunge la jamii ambayo toka siku hiyo waliweka agano la kufanya kazi kwa pamoja na ushirikiano.

posted from Bloggeroid
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni