Jumapili, 20 Agosti 2017

FRIENDS OF BATULI WATOA NENO KANDA YA ZIWA

Msemaji wa kikundi cha friends of Batuli ambae ni Batuli Kisaya, amewaasa wakazi wa kanda ya ziwa na vitongoji vyake kuwa wazalendo katika vikundi mbalimbali vya kijamii nchini.

Ameyasema hayo ndani ya studio ya A live fm jijini Mwanza huku akitoa nafasi kwa wazamini wanalio tayar kuzamini kikundi hicho cha friends of Batuli.

"Tunakaribisha watu mbalimbali kuwa nasi na katika kutudhamini kwani sisi tupo kijamii na kuwasaidia na kuyagusa makundi mbalimbali yasiyo na uwezo kama yatima,wajane nk" alisema Kisaya huku akisisitiza kila mtanzania kutoa msaada kwa makundi hayo ambayo nayo hayakutaka kuwa hivyo

Kisaya ambae amefunguka kwa undani hasa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza amewaomba watanzania kushirikiana bega kwa bega na hata makundi kwa namna mbalimbali.

Friends of Batul,ni foundation iliyoanzishwa mwaka Jana kwa lengo la kuziguza jamii zenye uhitaji kama wajane,mayatima nk ,na tarehe tano iliweza kufanya uzinduzi wake wa kihistoria huku viongozi mbalimbali wakihudhuria katika hafla hiyo huku ikitoa vyeti kwa taasisi mbalimbali nchini ikiwemo Bunge la jamii ambayo toka siku hiyo waliweka agano la kufanya kazi kwa pamoja na ushirikiano.

posted from Bloggeroid

FRIENDS OF BATULI YATOA NENO KANDA YA ZIWA

FRIENDS OF BATULI YATOA TAMKO KANDA YA ZIWA

Msemaji wa kikundi cha friends of Batuli ambae ni Batuli Kisaya, amewaasa wakazi wa kanda ya ziwa na vitongoji vyake kuwa wazalendo katika vikundi mbalimbali vya kijamii nchini.

Ameyasema hayo ndani ya studio ya A live fm jijini Mwanza huku akitoa nafasi kwa wazamini wanalio tayar kuzamini kikundi hicho cha friends of Batuli.

"Tunakaribisha watu mbalimbali kuwa nasi na katika kutudhamini kwani sisi tupo kijamii na kuwasaidia na kuyagusa makundi mbalimbali yasiyo na uwezo kama yatima,wajane nk" alisema Kisaya huku akisisitiza kila mtanzania kutoa msaada kwa m

akundi hayo ambayo nayo hayakutaka kuwa hivyo

Kisaya ambae amefunguka kwa undani hasa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza amewaomba watanzania kushirikiana bega kwa bega na hata makundi kwa namna mbalimbali.

Friends of Batul,ni foundation iliyoanzishwa mwaka Jana kwa lengo la kuziguza jamii zenye uhitaji kama wajane,mayatima nk ,na tarehe tano iliweza kufanya uzinduzi wake wa kihistoria huku viongozi mbalimbali wakihudhuria katika hafla hiyo huku ikitoa vyeti kwa taasisi mbalimbali nchini ikiwemo Bunge la jamii ambayo toka siku hiyo waliweka agano la kufanya kazi kwa pamoja na ushirikiano.

posted from Bloggeroid

UZINDUZI WA BUNGE LA JAMII KUJA NA MAWAZO CHANYA NCHINI

Bunge la jamii Tanzania ,linatarajia kufanya uzinduzi wake wa kihistoria wa kuzindua taasisi hiyo huku ikisindikizwa na viongozi mbalimbali wa kiserikali,taasisi hiyo ya Bunge la jamii iliyoanzishwa mwaka Jana kwa malengo ya kufanya kazi na serikali kwa njia kazaa wa kazaa katika nyanja za kiuchumi,kielimu,kiutamaduni na kijamii,inatarajia kuja na taswira mpya katika maswala ya kijamii.

Kwa mujibu wa msemaji wake Mh Deus Lugaila,amesema uwepo wa Bunge la jamii utahakikisha unashirikiana na serikali ya jamhuri kufanya nayo kazi kwa kila sekta huku ikimuunga mk
ono Mh Rais wa Tanzania katika kuleta maendeleo ya watanzania.

Sambamba na hayo,nae Katibu mkuu wa Bunge hilo Mr Rajabu jumanne,amewaomba watanzania walipokee bunge la jamii kwa moyo mmoja na wawe tayari kufanya nao kazi,

Akitoa neno mbele ya ofs ya mkoa wa Bunge la jamii Mjin Daresalam M/Kiti wa Bunge la jamii Tanzania Jane mwaswala amedhibitisha kuwa Bunge la jamii haliji kuondoa hadhi ya Bunge la jamhuri kwani utendaji kazi wa Bunge la jamii ni tofauti kabisa na bunge la jamhuri hata kimamlaka kwani Bunge la jamii halina mamlaka yeyote tofauti na Bunge la jamhuri ambalo linamamlaka ya kuiwajibisha serikali.

Wakiongea kwa nyanja tofauti tofauti wanachama mbalimbali na viongozi wa mikoa ya Bunge la jamii,wamewaomba watanzania kujitokeza katika hafla hiyo huku wakisema hiyo ni shughuri ya kitaifa isiyokuwa na chama,

Akilidhibisha tamko lake kwa njia ya simu mjumbe wa taifa Mama la mama kutoka Arusha ,amewaomba watanzania kuhudhuria hafla hiyo mjini Dodoma, hat

a hivyo Katibu wa mipango Mr Richard nnko akiwa na mwenyekiti wa mipango Mh Maheshi nao pia wametoa wasaa kwa watanzania kuhudhuria hafla hiyo.

Bunge la jamii linatarajiwa kuzinduliwa hapo Dodoma mwezi wa tisa na Mh Anthony Mavunde ambae ni naibu Waziri vijana na ajira huku akiambatana na jopo la viongozi wa kiserikali.

posted from Bloggeroid

Jumamosi, 19 Agosti 2017